UCHAWI WA BABU PART 1 || NEW BONGO MOVIE 2023 || KAMBA TATU
Kamba tatu anapaswa kumrithisha Uchawi Mjukuu wake kama ambavyo mizimu yake ilivyomuagiza ili kunusuru kizazi chake ... Mrisho ni Kijana ambae ni Mjukuu wa Kamba Tatu, je atakubali masharti ya babu yake ya kurithi uchawi na kuvunja mahusiano yake na Mpenzi wake ili kutimizi Masharti ya Uchawi?